Ndio umetoka kucheza mdumange, karibu, Mimi ni dume naona wewe ni MadameSikujua kama shingo yako imebeba dafu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umetoka kucheza mdumange, karibu, Mimi ni dume naona wewe ni MadameSikujua kama shingo yako imebeba dafu!
Hakuna muundombinu wowote duniani unaoweza kuhimili uwezo wa mwenyezi Mungu usijidanganye, suala la natural disaster ni uwezo wa maanani.Na nyinyi sasa muwe mnajisifia kwa Vitu vya kusifika kweli. Sio mnajisifia kwa Miundombinu isiyohimili mikiki mikiki ya mvua ya siku moja.
View attachment 1600213
View attachment 1600216
Hakuna cha tafiti yeyote hapo suala la majanga ya asili ni suala mtambuka.Acha uvivu, tafiti!
Sidhani hata unaelewa ulichoandika. Unadhan kwanini Selander Bridge hapafungwi panakuja kufungwa Jangwani ilihali mto ni huo huo moja?Hakuna muundombinu wowote duniani unaoweza kuhimili uwezo wa mwenyezi Mungu usijidanganye, suala la natural disaster ni uwezo wa maanani.
polei sana wa dar,watu wa jiji kubwa Tz kwa mafuriko ya mvua ya dakika chache....Yani hii seeikali dhalimu lazima tuinyeeshe tr 28.Kazi yao kuminya wananchi ktk kila angle kuchaji parking hadi ktk mitaa ya majumbani zawatu sijui parking fees alaf miundo mbinu ni sifuri. Fisiemu is a failed party why cant tanzanians dig that out?
Haya yote mwisho ni tr 28 October tumechokaa
Jenga barabara za kupandiana wanasahau kuzibua mitaro. Kwenye kuzibua mitaro hakuna 10%.Dah,
Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach.
Nimeshinda na Njaa muda wote huo, sijala Chochote toka nlivokula saa saba mchana ndo nakuja kula muda huu. Hapa nimejitia risk ya vidonda vya tumbo. Home nimewaweka macho kunisubiri ili tu wasije wakapitiwa na usingizi na mlango haujafungwa.
Why nailaumu serikali? Sababu yenyewe ndio inajinasibu kuwa kwa miaka mitano hii imejenga Miundombinu ya kutosha hivyo tuichague Tena.
Hivi ni Miundombinu gani hiyo mvua ya siku moja mji mzima haupitiki kwa amani kila mahala foleni na/au mafuriko? Why Jangwani mpaka leo karne ya 21 kimvua cha siku moja tu panafungwa?
Kwa kweli katika hili nasema hapana, lazima tuonyeshane hapo 28-10 iwe isiwe.
Dah,

Hiv wametumia vigezo gani hawa NEC kupanga hivyo?Kumbuka jina la rais mtaraniwa liko chini kabisa tell a friend to tell a friend View attachment 1601415
Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
Sasa wewe kusoma hujui, hata kuangalia picha napo tatizo, huoni kama pale ni baharini kabisa, unadhani siku ikitokea bahari ikatapika unadhani pale patapitika?? Ndo hapo unapotakiwa kujua uwezo wa maanani kuzuilika ni suala mtambukaSidhani hata unaelewa ulichoandika. Unadhan kwanini Selander Bridge hapafungwi panakuja kufungwa Jangwani ilihali mto ni huo huo moja?
Mkuu umevunja bendi .....Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
😀😀😅😅😅Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
Maendeleo ya vitu sio kujenga mfumo wa maji imara bonde LA msimbazi na kuiokoa Jangwani. Hayo ni maendeleo ya watu maana ni People centred. Maendeleo ya vitu ni kama kununua Dreamliner na kulipaki JKNIA.polei sana wa dar,watu wa jiji kubwa Tz kwa mafuriko ya mvua ya dakika chache....
Inawezekana hilo eneo unalolalamikia hawajajenga hiyo miundombinu uitakayo maana malalamiko yamekuwa mengi watu hawataki maendeleo ya vitu tena...maana watanzania unaweza shindwa kujua wakitakacho,ukijenga miundombinu,lawama tele kuwa maendeleo ya vitu,usipo jenga lawama vile vile
Si Hamtaki Maendeleo ya Vitu! Unless mnataka mpewe mafunzo ya kuogelea miundombinu mibovu tuipokee ndio imefika..bwana yule akishinda...maana anasema tuachane na vitu tukazane na watu.Dah,
Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach.
Nimeshinda na Njaa muda wote huo, sijala Chochote toka nlivokula saa saba mchana ndo nakuja kula muda huu. Hapa nimejitia risk ya vidonda vya tumbo. Home nimewaweka macho kunisubiri ili tu wasije wakapitiwa na usingizi na mlango haujafungwa.
Why nailaumu serikali? Sababu yenyewe ndio inajinasibu kuwa kwa miaka mitano hii imejenga Miundombinu ya kutosha hivyo tuichague Tena.
Hivi ni Miundombinu gani hiyo mvua ya siku moja mji mzima haupitiki kwa amani kila mahala foleni na/au mafuriko? Why Jangwani mpaka leo karne ya 21 kimvua cha siku moja tu panafungwa?
Kwa kweli katika hili nasema hapana, lazima tuonyeshane hapo 28-10 iwe isiwe.
Kumbe mnatamani marndeleo ya vitu. Kweli nyie vilaza msiojitambuaDah,

Dada kwema huko kawe,nimeskia sauti ya kinyonge ikisema nileteeni mzinzi gwajimaMiundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo yawatu na siovitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Ujenzi holela?Acha dharau wewe kishingo,juzi nimekaa kwenye foleni kutoka Tazara mpaka Airport kwa muda wa masaa matano.Ujenzi Holela ndio shida ya Kwanza Dar es salaam....Najiuliza ni kwanini Tatizo hili hata halitajwi popote na Wagombea wote vyama vyote wote wanasema shule, maji/ ajira