Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

IMG-20201016-WA0023.jpeg
 
Dah,

Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach.

Nimeshinda na Njaa muda wote huo, sijala Chochote toka nlivokula saa saba mchana ndo nakuja kula muda huu. Hapa nimejitia risk ya vidonda vya tumbo. Home nimewaweka macho kunisubiri ili tu wasije wakapitiwa na usingizi na mlango haujafungwa.

Why nailaumu serikali? Sababu yenyewe ndio inajinasibu kuwa kwa miaka mitano hii imejenga Miundombinu ya kutosha hivyo tuichague Tena.

Hivi ni Miundombinu gani hiyo mvua ya siku moja mji mzima haupitiki kwa amani kila mahala foleni na/au mafuriko? Why Jangwani mpaka leo karne ya 21 kimvua cha siku moja tu panafungwa?

Kwa kweli katika hili nasema hapana, lazima tuonyeshane hapo 28-10 iwe isiwe.
lako ulikuwa nalo tangu zamani, siyo kwa sababu ya mafuriko tu. Hata hivyo halitoshi
 
Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?
 
Sisi huku walipokuja kwenye kampeni wakatuambia wamejenga barabara za juu Dar huko na mnapita juu mpaka majumbani kwenu,wamenunua ndege saba, sasa inakuaje mnasema barabara za jiji hazipitiki.Na kwanini msipande ndege kufika kwenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaa mkuu unatisha.
 
Nakumbushia tu Jambo letu ni leo Wakuu,
Jana pia kamvua ka robo siku tu Jangwani kukafungwa, watu wamechelewa kurudi majumbani mwao.
So wakuu tusiangushane katika hili.
 
Dah,

Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach.

Nimeshinda na Njaa muda wote huo, sijala Chochote toka nlivokula saa saba mchana ndo nakuja kula muda huu. Hapa nimejitia risk ya vidonda vya tumbo. Home nimewaweka macho kunisubiri ili tu wasije wakapitiwa na usingizi na mlango haujafungwa.

Why nailaumu serikali? Sababu yenyewe ndio inajinasibu kuwa kwa miaka mitano hii imejenga Miundombinu ya kutosha hivyo tuichague Tena.

Hivi ni Miundombinu gani hiyo mvua ya siku moja mji mzima haupitiki kwa amani kila mahala foleni na/au mafuriko? Why Jangwani mpaka leo karne ya 21 kimvua cha siku moja tu panafungwa?

Kwa kweli katika hili nasema hapana, lazima tuonyeshane hapo 28-10 iwe isiwe.

Hahahahaha dua la kuku hilo
 
Back
Top Bottom