MWL MTZ Member Joined Aug 12, 2011 Posts 39 Reaction score 2 Oct 4, 2011 #1 tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course za kusoma.
tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course za kusoma.
landless Member Joined Mar 6, 2009 Posts 81 Reaction score 9 Oct 5, 2011 #2 saint machokololo bachelor of food in mashudu technology
Rutunga M JF-Expert Member Joined Mar 16, 2009 Posts 1,769 Reaction score 1,390 Oct 5, 2011 #3 ulisomea fani ipi,unaweza kusaidiwa,
Mr Suggestion JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 605 Reaction score 312 Oct 5, 2011 #4 Kaka fikiria kujiajiri na si kutembeza bahasha kama unataka kufanikiwa, otherwise kutoka ni ngumu kwa kuajiriwa
Kaka fikiria kujiajiri na si kutembeza bahasha kama unataka kufanikiwa, otherwise kutoka ni ngumu kwa kuajiriwa