Tuliomaliza chuo tunalia na ajira mtaani

Tatizo sio kuangalia kozi za kusoma, mfumo wetu wa elimu ya juu hauwaandai wahitimu kujiajiri ama kutumia elimu yao kutengeneza fursa za ajira. ndo maana wengi wanazurura mjini na vibahasha.
Pia tuondoe mawazo ya kuwa ajira mjini tu(hasa Dar) mikoani pia kuna fursa mikoa mingi inayoitwa ya pembezoni iko under staffed,watu hawataki kwenda hilo nalo tatizo

<font size="3"><strong>tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course za kusoma.</strong></font>
 
Mliyoyasema kuhusu tatizo la ajira hapa nchini ni kweli tupu. Ili kujiari kimsingi huitaji mtaji mkubwa ili ufanye kazi na biashara kubwa. Kikubwa unachohitaji ni kuwa na uaminifu wa hali ya juu na kujituma kwa kiwango cha juu sana. Kwa vijana ambao mtakuwa tayari naomba tuwasiliane kwa namba 0654 467758 ili tuwasaidie kujiari. Kwa kuanzia mtaji wako hautakiwi kuzidi shilingi 100,000. Pia naomba kwa wale mlioko Dar mnunue kitabu kiitwacho YOU TOO, CAN. Kitabu hiki kimeandikwa na dada mmoja wa Kenya anaitwa Josephine Mugambi. Mnaweza kukipata pale Mlimani City. Bei yake ya rejareja ni shilingi 10,000 tu. Pia tembeleeni hizi tovuti kwa undani sana-- www.emeagwali.com; www.grameen-info.org; www.wikipedia.com; www.entrepreneur.com; www.personalMBA.com; Entrepreneur Magazine: Advice on Entrepreneurship for Starting and Growing a Business na Small Business Marketing - Website Strategies & Marketing Ideas

Nawasilisha

Josephat S. Sanda
READ & WIN INVESTMENTS
KEREGE, BAGAMOYO
0654 467758
Email: josephatsanda@yahoo.com
 
<font size="3"><strong>tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course za kusoma.</strong></font>

sasa mwalimu,si ungewaambia kabisa wadogo zetu wasisome nini ambacho unadhani soko la ajira halipo kwa wingi.unapowaambia waangalie course za kusoma unawaacha njia panda mdau!
 
Mwl, hanaham kabsa. Kaleta2 maada akasepa ktafta kaz...lol
 
Aisee tunalia jamani, mabosi tuoneeni huruma. Dah.
 
Kamanda mambo ya parahraph muhimu! Nikiangalia haya maandishi nakosa nguvu za kuyasoma. Uko on point lakini.
 
Kamanda mambo ya parahraph muhimu! Nikiangalia haya maandishi nakosa nguvu za kuyasoma. Uko on point lakini.

Uvivu wa kusoma tu,...hujaelewa nini?. Ninyi ndio mnajiona wasomi kwa kufatilia vijipungufu vidogovidogo pasi kung'amua kilicho ongelewa! Acha uvivi, maarifa na utajiri wa kuelimika hupatikana katika Maandishi, usiwe mvivu ndg yangu! Mtazamo tu ndg yangu usifure mdomo!
 
Ndo njie hamjui jinsi ya kuandika hakafu mnalalamika kwanini hampati kazi, ukiandika hivyo inatupwa mara moja cover latter yako.
Jinsi unavyoandika inakupa picha ya muandishi, jifunze kijana!
 
Ndo njie hamjui jinsi ya kuandika hakafu mnalalamika kwanini hampati kazi, ukiandika hivyo inatupwa mara moja cover latter yako.
Jinsi unavyoandika inakupa picha ya muandishi, jifunze kijana!

We unajua kuandika?, halafu bado uko chuon eeh?. Malizia uje kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…