Aliyekwambia kumaliza chuo lazima uajiriwe ni nani? kuna kujiajiri pia! Tatizo tulionalo vijana wakitanzania ni kufikiri kuwa ulichosomea ndo hicho tu unatakiwa ukifanyie kazi, nenda hata kwenye mahotel fanyakazi ya kuosha vyombo, kupiga deki na shughuri nyigine nyingi tu wakati unasubirli hiyo kazi nyingine, usisahau hakuna serkali makini hapa ya kutengeza ajira kwa vijana zaidi ya kujiangalia wenyewe.... pole sana mdogo wangu jichanganye na shughu yoyote itakayokuja mbeya yako.