Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,257 Reaction score 3,905 May 26, 2025 #1 Mie upande wangu la saba nilimaliza Mugabe sinza .......20003 Form four azania sec 2007 Form six tambaza sec 2010 Wana nzengo katika hili hebu tuanze kufahamiana wewe ni wa mwaka gani ukutqne na mwezio
Mie upande wangu la saba nilimaliza Mugabe sinza .......20003 Form four azania sec 2007 Form six tambaza sec 2010 Wana nzengo katika hili hebu tuanze kufahamiana wewe ni wa mwaka gani ukutqne na mwezio
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,478 Reaction score 32,729 May 26, 2025 #2 Humu upo wewe peke yako
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,040 Reaction score 33,028 May 26, 2025 #3 Vp mnataka kutambika Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 May 27, 2025 #4 Shikamoo braza, msingetupisha nyie baada ya kumaliza la 7 tusingepata nafasi sisi, tunawashukuru sana.
Shikamoo braza, msingetupisha nyie baada ya kumaliza la 7 tusingepata nafasi sisi, tunawashukuru sana.