Tuliomaliza mwaka single,na kuanza mwaka mpya tukiwa single lets meet here!

Shem msalmie yule jamaa wa sacoss
 
mi nimekaa mwaka na nusu saizi hapa sina demu hata ni hatari kweli kubadili mazingira ni kazi
 
Dume LA mbegu hapa Bingwa LA kutafuta zoba LA matumizi Watoto wakike kazi kwenu Fursa ndio hii sijuagi kutongoza,rusha namba PM kisha angalia Salio lako
 
Tenda miujiza baba mwaka huu usinipite bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…