funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Niweke rekodi sawasawa hapa jamvini na nieleweke vyema na ninatoa "challange" kama kuna mwanajamvi yoyote ndani ya JF aliyempenda na kusimama na The Late John Pombe Magufuli na ajitokeze !
Yapo machapisho yangu humu jamvini yenye unyoofu kabisa juu ya msimamo wangu kuhusu JPM kabla hajagombea,wakati anagombea mara ya kwanza,wakati anahudumu ,wakati anagombea mara ya pili,wakati anajitoa mhanga kuipambania Tanzania ,wakati wa tetesi za kifo chake,wakati wa msiba wake(Sometimes live coverage) ,matukio baada ya msiba,utetezi wangu dhidi ya waliokuwa wanamnanga ,maangalizo na tahadhari kwa walitoaka kumsingizia ubaya ,ushauri wangu kwa "aliyemrithi " hasira zangu dhidi ya waliokuwa wanambagaza na ushauri wangu wa kuendelea kupambana na mabeberu ambao walihujumu Taifa.
Sikuwahi kuona na wala sina kumbukumbu ya wanaojitokeza leo hii kutaka kujidai ni wazalendo eti wakitaka kutueleza jipya juu ya sera ya Magufuli
,nini kilitokea n.k.
Wakati nikimtetea na kuelezea uzuri wa Magufuli humu jamvini hakuna yoyote awaye mwanasiasa "active" ambao tunaowajua wamo humu na huwa wanasoma threads humu jamvini na kwenda nazo mtaani au mtandaoni aliyethubutu kusema jambo kipindi hiko.
Leo hii anapoibuka mtu au mwanaharakati au mwanasiasa anataka kujijengea umaarufu eti anataka kutupa ukweli wa nini kilikuwa kinatokea namuona ni mnafiki wa hali ya juu sana,namuona sio mzalendo na zaidi namuona ni mmoja wa nyoka hatari sana aliyekuwa karibu na Magufuli...why now . ... why not then??sana sana ananifanya nimuhisi na kumtambua vibaya tu kwamba alikuwa ni mmoja wa wasaliti na pengine alitumika.
Why yelling now and not going into confrontation then?
JPM amepumzika kwa amani na anaongoza malaika kama alivyowahi kutania
...JPM yapo aliyoyaanzisha kwa ugumu mkubwa sana,na nimeyaona yaliyoendelezwa kwa kiwango kikubwa...na nina-aprreciate machache yaliyofifia ...lakini ukweli ni lazima zama zitofautiane kwa namba yoyote ...cha muhimu bado ninaiona "statusquo"ya yale ya msingi katika Taifa.
Ipo njia ,kanuni na sheria inayosimamia yale yote ya kitaifa yaliyopaswa kuwa yanaendelea kuwa na kwa hakika nimeona hili likiendelea kutendeka.
Lipo swali muhimu kwa wanaojitokeza mitandaoni na kujidai kumwaga mambo hadharani ila kwa wote waliojitokeza sijaona hata mmoja wao akitusimulia ni namna gani Walami walivyoshiriki kutaka kumuangamiza JPM ,My observation toka JPM anachukua fomu wapo walami walioanza harakati za kutaka asishinde na maandiko/mapambano dhidi yao yalikuwepo humu.
Walami walishindwa kumzuia JPM kuingia Madarakani,walishindwa kumzuia kufanya kile alichoamini ikiwemo stieglers Gorge kwa sasa bwawa la Nyerere,kero ya miaka mingi ya wizi wa rasilimali na ufisadi ...hivi leo hii ni kwanini wambea hawa na waliokengeuka hawa hawatupi details za mijadala na risks alizobeba Magufuli wakati wa sakata la makinikia?sakata ambalo hadi makomando/majasusi wastaafu wa kimarekani na canada walikuja Tanzania kuja kujadili?
Wapuuzi hawa ni kwa nini hawatuelezi harakati za wapinzani wa CCM akiwemo Lissu namna walivyomsema vibaya na kumsingizia ubaya na hatimaye kushirikiana na walami wanaojulikana kutoa fedha na kuanzisha maandamano nchi mbalimbali ili kuangusha Serikali??kwa nini wahuni hawa wanaojidai kupinga uhuni wana-omit previous facts kwa yale Ambayo Rais Magufuli na Makamu wake Rais Samia Samia waliyokuwa wanayapitia??
kwa nini hawakutoka kipindi hiko hadi tukampoteza mpendwa wetu?
Kwa nini hawakuwa front kuwasema waziwazi ,hawakuwa vocal dhidi ya walami waliokuwa na project zao za kuingamiza Tanzania 2015 hadi sasa...??
My simple analysis hawa hawa wanaojidai na wanaotaka kuitafuta sympathy ya watanzania leo hii ni sehemu ya mipango haramu dhidi ya Magufuli, Taifa na wazalendo wa Taifa.
Serikali kupitia vyombo vyake ifanye kikamilifu uchunguzi wa kina na kuwatambua.
Mwaka huu wa uchaguzi Serikali imesema uchaguzi wetu utafanyika kwa kutumia fedha zetu kwa asilimia 100 na hivyo wale walami wa US,Eu na wengineo hawatakua na influence kubwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Hii ni hatua kubwa na inajulikana kuwa lazima imeumiza walami.
Je kwa nini nisiamini kuwa hawa wapiga kelele wamepewa fedha kuihujumu Tanzania??
mzuka umepanda muda huu....nitarudi
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Copy,paste and Share kama wewe ni mzalendo...!