Tuliooa Drama Queens tukutane!!

Binafsi nimeoa Drama Queen ambae full sanaa. Yaani nilinunua kiwanja Mbweni ndio nikaenda masomoni September 2019 Australia. Sasa nataka kutuma hela asimamie ujenzi January hii nataarifiwa kashauza kiwanja nimeduaa

Vumilia kijana, si mnasema mnaoa makalio na sura inatosha, tabia mtavumiliana!?
 
................Kwanini hukubomoa kile kibanda kule Bagamoyo Kerege umkabidhi asimamie ujenzi?kule hata kama angetaka kuuza hakuna ambaye angenunua.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…wajua wajua na mastori ya town..
Yupo masomoni Australia, huku akimla mke wa mchungaji Namnani, huku akioa drama queen FULL=fool...

Tuogope Mungu na teke-linalo-kujia..

Everyday is Saturday.................😎
 
Binafsi nimeoa Drama Queen ambae full sanaa,

Yaani nilinunua kiwanja Mbweni ndio nikaenda masomoni September 2019 Australia. Sasa nataka kutuma hela asimamie ujenzi January hii nataarifiwa kashauza kiwanja nimeduwaa.
Umeumbuka na story zako za uongo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…