Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini mnapenda kumtaja MUNGU kwenye mambo ya kipumbafuOgopa sana Mungu na technology duniani
Wakati kama huu muanzisha uzi anakuwa anauangalia uzi wake kwa jicho moja akiwa amesimama mita saba kutoka simu ilipo.
Nimecheka kwa sauti aisee.Wakati kama huu muanzisha uzi anakuwa anauangalia uzi wake kwa jicho moja akiwa amesimama mita saba kutoka simu ilipo.
Binafsi nimeoa Drama Queen ambae full sanaa. Yaani nilinunua kiwanja Mbweni ndio nikaenda masomoni September 2019 Australia. Sasa nataka kutuma hela asimamie ujenzi January hii nataarifiwa kashauza kiwanja nimeduaa
Wakati kama huu muanzisha uzi anakuwa anauangalia uzi wake kwa jicho moja akiwa amesimama mita saba kutoka simu ilipo.
Umeumbuka na story zako za uongo uongoBinafsi nimeoa Drama Queen ambae full sanaa,
Yaani nilinunua kiwanja Mbweni ndio nikaenda masomoni September 2019 Australia. Sasa nataka kutuma hela asimamie ujenzi January hii nataarifiwa kashauza kiwanja nimeduwaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati kama huu muanzisha uzi anakuwa anauangalia uzi wake kwa jicho moja akiwa amesimama mita saba kutoka simu ilipo.