ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hahaha, technology ni kitu kingine. Mtu mwongo asisahau anachoongea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, technology ni kitu kingine. Mtu mwongo asisahau anachoongea...
😆😆😆😝 nmejaribu kuimagineWakati kama huu muanzisha uzi anakuwa anauangalia uzi wake kwa jicho moja akiwa amesimama mita saba kutoka simu ilipo.
😀😀😀😆😆😆😝 nmejaribu kuimagine
Wakati kama huu muanzisha uzi anakuwa anauangalia uzi wake kwa jicho moja akiwa amesimama mita saba kutoka simu ilipo.
Jf ina vituko🤣🤣graduate akisoma story za jamaa anapata stress kuwa yeye anakwama wapi kumbe mwamba anatumia kipaji cha utunzi kuchangamsha jukwaa tu.Nimecheka sana mamaaaae!!! Achana na Karma ti,yaani namna alivyoumbuka. 2019 yupo Australia,ila 2020 january kapost akitafuna mke wa mchunhaji
Sent using Jamii Forums mobile app