BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 576
lakini yawezekana ukashauriwa kulingana na ulivyopeleka tatizo na uzito wa tatizo ulivyowakilisha[/QUOTE
Asante mkuu
Ila katika masuala yote ya kiushauri jiulize mwenyewe kwanza unataka nini na nini matarajio yako kabla ya kuomba ushauri kwa mtu
Upime kwa ufasaha ushauri utakaopewa na uwe na majibu yako na wazo lako mwewe kama wewe na then ufikiri na kuchambua kila utakaloambiwa
ni kweli ila wengine huwa wanaamini wanaomba ushauri ila wanakuwa tayari wanalazimisha kile ambacho wao wanaamini na unakoomba ushari ni lazima akushauri kulingana na utakavyo wewe