Tuliooa

Tuliooa

lakini yawezekana ukashauriwa kulingana na ulivyopeleka tatizo na uzito wa tatizo ulivyowakilisha[/QUOTE

Asante mkuu
Ila katika masuala yote ya kiushauri jiulize mwenyewe kwanza unataka nini na nini matarajio yako kabla ya kuomba ushauri kwa mtu
Upime kwa ufasaha ushauri utakaopewa na uwe na majibu yako na wazo lako mwewe kama wewe na then ufikiri na kuchambua kila utakaloambiwa

ni kweli ila wengine huwa wanaamini wanaomba ushauri ila wanakuwa tayari wanalazimisha kile ambacho wao wanaamini na unakoomba ushari ni lazima akushauri kulingana na utakavyo wewe
 
Njoo kwa Mr...... utapata ushauri wa kila namna na namna ya kuiboresha ndoa yako

sasa hapa naona Mr....anataka kujipendelea! nitaanzisha poll ya kuwapigia kura nione nani zaidi :A S-alert1:
 
Njoo kwa Mr...... utapata ushauri wa kila namna na namna ya kuiboresha ndoa yako
Alaaaaaaaaa...kumbee sasa Mama Tuli naye anahitaji kuniona kwa ajili ya kupata ushauri maana naona umeishaanza kumendea hadi wateja wangu
 
Pole na endelea kuvumilia manake ndio njia uliyochagua! Mtangulize sana
Mungu atakusimamia, utavuka milima na mabonde na hatimaye utafika kwenye tambarare..
una maneno ya busara sana mamito....
 
Alaaaaaaaaa...kumbee sasa Mama Tuli naye anahitaji kuniona kwa ajili ya kupata ushauri maana naona umeishaanza kumendea hadi wateja wangu
Swahiba usiwe na wasi, madam mie niko hapa hatamendea mteja hata mmoja, toka lini Mr.Rocky akawa mshauri?
 
Kweli mkuu. Maisha ya ndoa ni kuvumiliana sana. Vumilia huku unarekebisha makosa madogo madogo yanayotokea kabla hayajaleta mlipuko. Jijengee mazoea ya kuongea na mwenzi wako kila weekend au mwisho wa mwezi muelezane pale penye mapungufu ili mrekebishe na palipoenda sawa mpongezane. Ni hayo tu kwa sasa.
 
Una maushauri ya ukweli. Karibu kwenye NGO yetu na TF utatufaa sana wewe.
 
Una maushauri ya ukweli. Karibu kwenye NGO yetu na TF utatufaa sana wewe.

waooh! Ahsante sana. Mimi ni mtoa ushauri nasaha kasoro kupima ukimwi. Nitafurahi kufanya kazi na NGO yenu.
 
waooh! Ahsante sana. Mimi ni mtoa ushauri nasaha kasoro kupima ukimwi. Nitafurahi kufanya kazi na NGO yenu.
Usijali umepata kazi, hatuhitaji cha cv wala nini, ilmradi tu uwe unajua kupika chai...
 
Mie yangu macho tu Rejao, ila yakikufika usisite kuniona kwa ushauri, lol...
sawa mama ushauri...mi napenda vya bure lakini! ujiandae kutoa ushauri wa bure kama unaoutoa hapa jamvini!!!
 
Back
Top Bottom