Tulioomba ajira uhamiaji tukutane hapa tuna kikao

Hatakama itakua kweli wanapigiwa,ila interview mtaitwa tu.Hawawezi kujaza nafasi zote.
 
Katika sehemu zina undugurization ni uhamiaji.

Mjikaze wapambanaji.
 
Serikali Haina utaratibu huo yatatangazwa majina kwenye mtandao pia magazetini
 
Mwenye sample ya usahili Maswali ya uhamiaji
Mdogo wangu Wahenga wa kizungu walisema, "Don't count your chickens before they hatch". Wengine wakasema, " Don't cook the sauce before catching the fish". Na wengine wenye busara pia walisema," The way to cook a rabbit is first to catch a rabbit ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…