Tulioomba ajira za ualimu kupitia Ajira Portal, angalieni status zenu

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
428
Reaction score
385
Habari,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Siku tatu zilizopita STATUS ilibadilika kutoka employer kuwa MDAs na LGAs hadi employer kuwa mkoa husika. Jana imebadilika status imebadilika tena na kurudi MDAs na LGAs.

Hii inaashiria kitu gani? Tuendelee kuvuta subira.
 
Hapo umekosa subiri wakati ujao
 
Msema ukweli n pdf tuu, msiwe na wasiwasi.
Siku ikitoka pdf na usipojiona ndio utakuwa umeyaaga mashindano.
 
Reactions: o_2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…