Tulioomba kujiunga University kwa sifa ya Diploma majibu vipi?

the overall capacity for bachelor degree programs reserved for diploma holders is 31667 however there are only 17043 applicants who have applied to bachelor degree programs so far

Acha kuwadanganya wenzio,mwaka huu ufaulu kwa form six ulikuwa mkubwa kuna competition kubwa.so wengi diploma holders mtakosa vyuo.wachache wenu watapata vyuo vya kata
 
Mkuu umeangalia Tangazo lililotolewa na NACTE au unabisha tu
 
Back
Top Bottom