Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
 
Mm sijazoea makala zako fupi kama hizi.....nimezoea kuona ukiandika thread zako ndefu sana na mapovu ya kutosha yakimwagika
Mpango wako Maalum wa kunitafutia BAN za Kilazima kwa Kushirikiana na Wenzako wenye Mamlaka hayo ukitokea hapo Makao Makuu yenu Mikocheni jirani na Lugalo Golf Court umefikia wapi? Hongera pia kwa kuja na ID hii nyingine ukijisifu Kipopoma kuwa labda sitokujua au sitokushtukia.
 
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Mimi siyo Simba siyo Yanga lakini nilikuunga mkono. Kusajili mchezaji Kwa kumkomoa mpinzani ni Uzuzu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Sawa, kwa point alizoipa simba mnafanya nini!?
 
Watu hawajafili mada wanaanza kusutana halafu cha ajabu wana iD za kiume
 
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Kweli, nakumbuka ulisema mkuu. Ila mimi binafsi sikukuita Popoma ila nawaombea radhi mapopoma wote walio kudhihaki
 
Kimsingi Morrison alikuwa Bonge moja la mchezaji hatari Sana,, shida Ni nidhamu na hasira kupitiliza hata alipokanywa alikuwa mtu wa kurudiarudia makosa!

Kila la heri huko aendako!
 
B
Mpango wako Maalum wa kunitafutia BAN za Kilazima kwa Kushirikiana na Wenzako wenye Mamlaka hayo ukitokea hapo Makao Makuu yenu Mikocheni jirani na Lugalo Golf Court umefikia wapi? Hongera pia kwa kuja na ID hii nyingine ukijisifu Kipopoma kuwa labda sitokujua au sitokushtukia.
Bro jistukie basi,maana jf ni ww tu kila mara unaleta threads hazina mbele wala nyuma
 
Back
Top Bottom