GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mpango wako Maalum wa kunitafutia BAN za Kilazima kwa Kushirikiana na Wenzako wenye Mamlaka hayo ukitokea hapo Makao Makuu yenu Mikocheni jirani na Lugalo Golf Court umefikia wapi? Hongera pia kwa kuja na ID hii nyingine ukijisifu Kipopoma kuwa labda sitokujua au sitokushtukia.Mm sijazoea makala zako fupi kama hizi.....nimezoea kuona ukiandika thread zako ndefu sana na mapovu ya kutosha yakimwagika
Mimi siyo Simba siyo Yanga lakini nilikuunga mkono. Kusajili mchezaji Kwa kumkomoa mpinzani ni Uzuzu.Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Sawa, kwa point alizoipa simba mnafanya nini!?Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Kweli, nakumbuka ulisema mkuu. Ila mimi binafsi sikukuita Popoma ila nawaombea radhi mapopoma wote walio kudhihakiBinafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Dah! Tanzania kuna viwanda vya uongo na uchonganishi.Morrison kuongoza mapambano ya kudai bonus walizokuwa wanaahidiwa amekuwa mbaya?
Anamchango wake kwa Simba, hususan kwenye mechi za CAF.
Bado naukumbuka mchango wake kwenye mechi na Red Arrows na ile ya kina Adebayo.
'Baniani mbaya ila kiatu chake kilikuwa dawa'
Viwanda vya uongo aliondoka navyo Kayafa MagufuliDah! Tanzania kuna viwanda vya uongo na uchonganishi.
Bro jistukie basi,maana jf ni ww tu kila mara unaleta threads hazina mbele wala nyumaMpango wako Maalum wa kunitafutia BAN za Kilazima kwa Kushirikiana na Wenzako wenye Mamlaka hayo ukitokea hapo Makao Makuu yenu Mikocheni jirani na Lugalo Golf Court umefikia wapi? Hongera pia kwa kuja na ID hii nyingine ukijisifu Kipopoma kuwa labda sitokujua au sitokushtukia.