Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Uzi umenchekesha sana

Kuna story niliisikia eti wapenz wenyew wanafanya yao wamelala na mtoto wao mama akaanza kunyonya koni utamu wa koni umekolea analalamika tu mtoto akasema mama naomba uo muwa namie nfyonze
 
Hizo deikea ni bure tu, hakuna malipo?
 
nakumbuka mbali sana kule arusha kipindi kile kuna mbavu za mbwa pande za majengo ukuta wa mpangaji na mpangaji ni tofauti ya mifuko na maboksi.. mechi zinapigwa alifajiri chumba cha jirani halafu jimama linavyolia mpk balaa, ukijicheki umelala na mshua unaye mheshimu inabidi hio tyme ujifanye unakoroma ilikukupunguza maswali mengi kichwani mwa waliokaribu.. ilikuwa ni shida maana mpk ile friction ya nyama ilikuwa ikisikika.

nakumbuka ile familia..ilikuwa inalala na kabinti chao kwa hakika kaliharibika mapema mno
 
Jiamini, cha msingi piga tu kama kawa na mkeo asijibane aachie mayowe hata haouse girl akisikia atakuwa anakiheshimu atakapokuwa anasikia mama analalamika
 
ha
hapo natumia mlinganyo huu: mkeka + subwoofer = burudan
 
Hizo deikea ni bure tu, hakuna malipo?
Kwani huyo msichana wa kazi kwako atakaa bure? Si utamlipa mshahara au? Utakua humuhudumii mahitaji yake mengine kama chakula ,mavazi,ugonjwa n.k
Jiongeze huko Day care ada zinalipwa kwa awamu
 
Kweli jf ni chimbo la matajiri na wasomi haswa!
Yaani wanashangaa mtu kupanga chumba na sebule huku akiwa na mtoto na hg du!
Wakati kwetu buza mtu ana watoto 4 wakubwa wa jinsia tofauti na wanaishi kwenye chumba kimoja tu
 
Pamoja na karaha zooote za nyumba za kupanga, mimi nawashukuru wapangaji wenzangu wooote wa zamani. Kwa sababu walimnyanyasa mke wangu hadi nilijenga kakibanda kangu "bila shuruti" na kuhamia. Bravo to my ex co - tenants!
 
Kwani huyo msichana wa kazi kwako atakaa bure? Si utamlipa mshahara au? Utakua humuhudumii mahitaji yake mengine kama chakula ,mavazi,ugonjwa n.k
Jiongeze huko Day care ada zinalipwa kwa awamu
Unataka kusema kuwa mshahara wa housegirl unaweza kulingana na ada ya daycare?
 
Unataka kusema kuwa mshahara wa housegirl unaweza kulingana na ada ya daycare?
Day care zipo za bei tofauti tofauti zipo mpaka za kulipa kwa mwezi sasa sijui wewe unaulizia Daycare za viwango gani!? Mshahara wa sasa wa Dada wa kazi anayejielewa ni angalau 50 elfu hapo hujampa chakula,hujampa mavazi wala matibabu atapoumwa na bado bugudha kibao atakusababishia
 
Sababu zamani kulikuwa na karadio kadogo chumban usiku kuanzia saa4 kanawashwa kanaongea mpaka alfajiri
 
Hahahaaaa bora wewe una chumba na sebure mkuu, kuna wengine tuna kimoja tu na mama mkwe kaja kusalimia hii wiki ya sita sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…