Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Umenikumbusha miaka ile naanza maisha,...ckua na housegirl wala mtt,so tulikua tunajiachia kweli kweli na mama yenu,akikolea anapiga mayowe as if kuna MTU anampiga msumari matakoni kumbe ni raha zimemkolea,....mapenzi bana?... Acha kabisa....
Kimbembe kikaja cku moja alipokuja Mdogo wake Wa kike,na kaja kuishi hapo kwetu,sio kusalimia,....aloo.....mechi ilikua ngumu kweli kweli,.. Na ukizingatia sebule na chumbali mlango Wa kufunga hakuna,....ni pazia tu.
Na kitoto chenyewe kilikua na usingiz mgumu kweli kweli,....mkisubiria hadi SAA 7 ile unataka kuchomeka kitu kimezwe unashangaa kimefungua mlango eti kinaenda chooni.....kalikua kananikera.
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa kweli huwa ni changamoto kuna jamaa anaishi bunju ana vyumba 2 alafu anakaa yeye,Mkwe wake na wadogo wa Mke 2 kati yao Moja ana mtoto wa miaka 2 na yeye Jamaa ana watoto 2.
 
Mbona Bunju vyumba vya bei ndogo vipo?
 
Tatizo kubwa wanawake wengi hawana msaada kwenye kushare matumizi ya kulea familia bado wamekariri hilo ni jukumu la mwanaume.

Kama wote wawili mna vijikazi vya kusogeza siku sidhani kama mnashindwa kupata walau apartment ya vyumba viwili na sebule na kitchen au hata vyumba 3.

Tatizo nimeliexperince wanawake wengi ingawa siyo wote ni selfish sana hawana msaada wa kuchangia kipesa kwenye familia.

Huyohuyo mnayekaa naye chumba na sebule usishangae kukuta kwao anajenga.
Sina cha kukupinga nakuunga mkono asilimia mia kabisa
 
Umenikumbusha miaka ile naanza maisha,...ckua na housegirl wala mtt,so tulikua tunajiachia kweli kweli na mama yenu,akikolea anapiga mayowe as if kuna MTU anampiga msumari matakoni kumbe ni raha zimemkolea,....mapenzi bana?... Acha kabisa....
Kimbembe kikaja cku moja alipokuja Mdogo wake Wa kike,na kaja kuishi hapo kwetu,sio kusalimia,....aloo.....mechi ilikua ngumu kweli kweli,.. Na ukizingatia sebule na chumbali mlango Wa kufunga hakuna,....ni pazia tu.
Na kitoto chenyewe kilikua na usingiz mgumu kweli kweli,....mkisubiria hadi SAA 7 ile unataka kuchomeka kitu kimezwe unashangaa kimefungua mlango eti kinaenda chooni.....kalikua kananikera.
aise kama nimecheka sana...halafu kama nakajengea picha hako katoto ndo kametoka kuamka saa 7 kanabembea bembea kwa usingizi...na wakati huo watu mmedima sana ili alale mfanye yenu...dah,changamoto kwa kweli
 
kwa kweli huwa ni changamoto kuna jamaa anaishi bunju ana vyumba 2 alafu anakaa yeye,Mkwe wake na wadogo wa Mke 2 kati yao Moja ana mtoto wa miaka 2 na yeye Jamaa ana watoto 2.
haya ndo maisha halisi kabisa ya mtanzania anaeishi chini ya dola moja...mambo mengine yanafikirisha sana kwa kweli...namuwaza huyo kichwa wa familia nahisi mara nyengine anakuwa na mawazo sana mpk anatamani asingeanzisha familia kbs.
 
MBINU: Hakikisha chumbani kuna radio na uwe na utamaduni wa kuifungulia kila wakati ili mkifanya yenu radio inapunguza fujo kufika sebuleni. Kitanda cha cha ni silence hata angekuwa amelala hapo chini yenu hawezi sikia labda kama mtapiga ninyi kelele au kitanda hakikukazwa vizuri. Mnaweza pia kuwa na kigodoro kidogo mkamalizana sakafuni.
 
Watu masikini kwa kujitwisha mizigo! Sasa wewe una chumba na sebure msichana wa kazi wa nini? Kwa ukubwa gani wa nyumba mlionao mpaka mahitaji msaidizi wa kazi? Siku hizi Day care kibao Sasa si bora kama mna watoto muwapeleke Day care huko wakashinde kuliko kulea mtu ambae utamlisha, utamvisha,akiugua utamuuguza na zaidi ya yote utakua na kazi ya kumchunga tabia na mshahara juu
Day care bei gani dadaa bei gani? Hao day care watakuja kufanya kazi za nyumbani kama usafi wa ndani, kufua nguo, kuandaa chakula kulinda nyumba, kuosha vyombo, kuwapeleka watoto shule, kuwachukua?
 
uko daycare ni 1500 kwa siku?
house girl analipwa 50 000 anatunza mtoto anawapikia anawafulia etc so it is cheaper kuwa na living in msaidizi wa nyumbani!
 
CHUMBA NA SEBULE MNALETA HG? TENA MNA MTOTO MMOJA TU? UNA MKE MVIVU HAIJAPATA KUTOKEA.

HALAFU UNAAMKA UNAMKUTA HG SEBULEN AMELALA AMEJIACHIAA MAPAJA YOTE NJE.. SI MATATIZO HAYO MKUU
 
Day care bei gani dadaa bei gani? Hao day care watakuja kufanya kazi za nyumbani kama usafi wa ndani, kufua nguo, kuandaa chakula kulinda nyumba, kuosha vyombo, kuwapeleka watoto shule, kuwachukua?
Sasa alioa mke wa nn? Maana sielewi kutegemea msichana apikie familia wakati mke yupo!
 
Pamoja na karaha zooote za nyumba za kupanga, mimi nawashukuru wapangaji wenzangu wooote wa zamani. Kwa sababu walimnyanyasa mke wangu hadi nilijenga kakibanda kangu "bila shuruti" na kuhamia. Bravo to my ex co - tenants!
Hongera kwa kupata NYUMBA Mkuu!
 
Back
Top Bottom