Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa kweli huwa ni changamoto kuna jamaa anaishi bunju ana vyumba 2 alafu anakaa yeye,Mkwe wake na wadogo wa Mke 2 kati yao Moja ana mtoto wa miaka 2 na yeye Jamaa ana watoto 2.
 
kwa kweli huwa ni changamoto kuna jamaa anaishi bunju ana vyumba 2 alafu anakaa yeye,Mkwe wake na wadogo wa Mke 2 kati yao Moja ana mtoto wa miaka 2 na yeye Jamaa ana watoto 2.
Mbona Bunju vyumba vya bei ndogo vipo?
 
Sina cha kukupinga nakuunga mkono asilimia mia kabisa
 
aise kama nimecheka sana...halafu kama nakajengea picha hako katoto ndo kametoka kuamka saa 7 kanabembea bembea kwa usingizi...na wakati huo watu mmedima sana ili alale mfanye yenu...dah,changamoto kwa kweli
 
kwa kweli huwa ni changamoto kuna jamaa anaishi bunju ana vyumba 2 alafu anakaa yeye,Mkwe wake na wadogo wa Mke 2 kati yao Moja ana mtoto wa miaka 2 na yeye Jamaa ana watoto 2.
haya ndo maisha halisi kabisa ya mtanzania anaeishi chini ya dola moja...mambo mengine yanafikirisha sana kwa kweli...namuwaza huyo kichwa wa familia nahisi mara nyengine anakuwa na mawazo sana mpk anatamani asingeanzisha familia kbs.
 
MBINU: Hakikisha chumbani kuna radio na uwe na utamaduni wa kuifungulia kila wakati ili mkifanya yenu radio inapunguza fujo kufika sebuleni. Kitanda cha cha ni silence hata angekuwa amelala hapo chini yenu hawezi sikia labda kama mtapiga ninyi kelele au kitanda hakikukazwa vizuri. Mnaweza pia kuwa na kigodoro kidogo mkamalizana sakafuni.
 
Day care bei gani dadaa bei gani? Hao day care watakuja kufanya kazi za nyumbani kama usafi wa ndani, kufua nguo, kuandaa chakula kulinda nyumba, kuosha vyombo, kuwapeleka watoto shule, kuwachukua?
 
uko daycare ni 1500 kwa siku?
house girl analipwa 50 000 anatunza mtoto anawapikia anawafulia etc so it is cheaper kuwa na living in msaidizi wa nyumbani!
 
CHUMBA NA SEBULE MNALETA HG? TENA MNA MTOTO MMOJA TU? UNA MKE MVIVU HAIJAPATA KUTOKEA.

HALAFU UNAAMKA UNAMKUTA HG SEBULEN AMELALA AMEJIACHIAA MAPAJA YOTE NJE.. SI MATATIZO HAYO MKUU
 
Day care bei gani dadaa bei gani? Hao day care watakuja kufanya kazi za nyumbani kama usafi wa ndani, kufua nguo, kuandaa chakula kulinda nyumba, kuosha vyombo, kuwapeleka watoto shule, kuwachukua?
Sasa alioa mke wa nn? Maana sielewi kutegemea msichana apikie familia wakati mke yupo!
 
Pamoja na karaha zooote za nyumba za kupanga, mimi nawashukuru wapangaji wenzangu wooote wa zamani. Kwa sababu walimnyanyasa mke wangu hadi nilijenga kakibanda kangu "bila shuruti" na kuhamia. Bravo to my ex co - tenants!
Hongera kwa kupata NYUMBA Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…