ukiniuliza nkutajie kambi nzuri kwa hali ya hewa..,,,chakula kizuri...,,na huduma nzuri bac ntakutajia ruvu....,,mi braza wangu.yuko pale kozi na nshawai kwenda pale
kila siku asubuhi wanakula mkate na chai ya maziwa/rangi mchana wanakula ugali mboga majani na nyama ya ng'ombe usiku wanakula ubwabwa na nyama au ugali maharage/nyama pamoja na majani
kama kawaida ya kambi za jkt kambi hii hulima mboga za majani na wanafuga kuku wengi tu na kuuza nje ya kambi au sometime kuku hao hufanywa kuwa mboga
NB:Sio kila kambi ya jeshi ina mazingira mazuri..,,huduma nzuri na chakula kizuri ila kiukweli jkt ruvu IS THE BEST