Tuliopigwa block WhatsApp na kuwekwa blacklist ujuane

Tuliopigwa block WhatsApp na kuwekwa blacklist ujuane

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Niaje Wajuba?

Heri ya siku wa Kina Baba duniani japokuwa ilikuwa juzi kati. Kila mwanaume mpambanaji wa yale mambo yetu lazima hizi hukumu zinamuhusu Sana BLOCK na BLACKLIST, tunapata hizo hukumu kwa sababu mbali mbali.

Wajuba no issue gani ilikufanya ukapigwa Pin?[emoji41][emoji41]
 
Mi nilimwambia ex wangu anavyonifatilia fatilia nimepata taarifa yeye ni mchawi anataka kunichukua nyayo aniroge.Kila sehemu nimekula tofali.
 
Back
Top Bottom