Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mshaanza kuniandama kama nimepigwa peke yang akat wapo wengn kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mshaanza kuniandama kama nimepigwa peke yang akat wapo wengn kibao
EeehLabda ndo maana alinielemea
Ningetakiwa nipigane nae kwa biblia na maji ya baraka tu
Alianza kunifanyia visa kama hv
Kuni siku nimelala fofofo akaja akanizaba kofi nkainuka kwa kukurupaka nashangaa ananibembeleza"Oonh my umeota ndoto mbaya nin ndoto gan hyo"
Sikuelewa kofi la ndoton au la ukwel ukwel
We kaka hauko sawa na huyo mwanamke atakua ana pepo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sas hapa ntakua nakaa na Van damme ndanZabuliwa mkuu, si mapenzi bwana? Akampige nani sasa! Akapige wazazi wake?
Ukijaliwa na wewe siku moja ukamzidi mbinu utaweza hata kumtandika kwa kutumia silaha nzito aina ya wax ama dera na kumfanya akukome na akuheshimu maisha.
Kweli analeta comedy hayuko serious.Huyu jamaa buana naona anazingua AMA anasimulia bongo movie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake wengine sio,wanapigana na majambazi na kunyang'anya silaha kabisaNguvu zao zimeishia hapo. Kwanza ningekua ndo mimi huyo mwanaume kesho namuaxha siwezi kukupiga kibao ukakaa kimya ni ujuha huo. Huyo mwanamke nae atakua mkurya. Unapigaje mwanaume kibao
Nshabeba misalaba ya waoga wote wanaogopa kusema kama walilapuliwa makofi na madem zao
We jamaa Hahahahahah...........Alianza kunifanyia visa kama hv
Kuni siku nimelala fofofo akaja akanizaba kofi nkainuka kwa kukurupaka nashangaa ananibembeleza"Oonh my umeota ndoto mbaya nin ndoto gan hyo"
Sikuelewa kofi la ndoton au la ukwel ukwel
[emoji23][emoji23]Kuna wanawake wanaekti mpaka unakubali amri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake wengine sio,wanapigana na majambazi na kunyang'anya silaha kabisa