Tuliopigwa makofi na mademu zetu nakuachana ingia hapa

Na yawezekana kulifanyika appointment stand ya basi na kuchukuana hapo kisa ana wowowo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Alikua anachura hatar yan
Sema ndo hvo nkifanya Nyooo...nimechezea banzi
 
Alianza kunifanyia visa kama hv


Kuni siku nimelala fofofo akaja akanizaba kofi nkainuka kwa kukurupaka nashangaa ananibembeleza"Oonh my umeota ndoto mbaya nin ndoto gan hyo"




Sikuelewa kofi la ndoton au la ukwel ukwel

[emoji16][emoji16][emoji16] unazingua babu [emoji16][emoji16]
 
Zabuliwa mkuu, si mapenzi bwana? Akampige nani sasa! Akapige wazazi wake?
Ukijaliwa na wewe siku moja ukamzidi mbinu utaweza hata kumtandika kwa kutumia silaha nzito aina ya wax ama dera na kumfanya akukome na akuheshimu maisha.
Sas hapa ntakua nakaa na Van damme ndan
 
Nguvu zao zimeishia hapo. Kwanza ningekua ndo mimi huyo mwanaume kesho namuaxha siwezi kukupiga kibao ukakaa kimya ni ujuha huo. Huyo mwanamke nae atakua mkurya. Unapigaje mwanaume kibao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake wengine sio,wanapigana na majambazi na kunyang'anya silaha kabisa
 
Ni bora mjue nadanganya
Maana ukwel nimesema


Hichi kitendo kimekaa moyo stak kuwaambia washkaji zang watancheka mwaka mzima
 
Alianza kunifanyia visa kama hv


Kuni siku nimelala fofofo akaja akanizaba kofi nkainuka kwa kukurupaka nashangaa ananibembeleza"Oonh my umeota ndoto mbaya nin ndoto gan hyo"




Sikuelewa kofi la ndoton au la ukwel ukwel
We jamaa Hahahahahah...........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake wengine sio,wanapigana na majambazi na kunyang'anya silaha kabisa

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] chance ya kupata mwanamke wa hivo ni 1/100
 
Nashindwa kuelewa inakuwaje kha!!! Uanalapuliwa tu. Hata kukimbia boss ukashindwa?
Mi nlimkosea kidogo sasa kuomb yaishe uku baby baby nataja nying nashanga vuup la uso la shavu

Mwili wang mwenyew kama mau fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…