Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Makamanda nipeni mrejesho.
Mpiganaji kazikwa bila heshima.
Hizo jezi zinawapumbaza sana
Sasa wewe unapomuinyesha mbilimbi au ukwaju mpiga tarumbeta unatarajia nini? Kuna tarummbeta litapigika kweli hapo? Au hujui kuwa ukitaka kuwaharibia kazi wapiga maturumbeta uwaonyeshe ukwaju?
hilo dude lilikuwa bovu. hiyo inaitwa weapon malfunction
Ni kweli kabisa hapo marehemu mpiganaji hakutendewa haki.Nafikiri iwe busara kubeba piece za akiba katika shughuli za namna hiyo.
Asante kunielewa.Ni kweli kabisa hapo marehemu mpiganaji hakutendewa haki.