Tuliopoteana tukutane hapa

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
540
Amani iwe kwenu.

Si vibaya tukakutana na ndg na marafiki tuliopoteana nao.

Binafsi kuna watu nawasaka sana. Yaani nimewagoogle kila kona bila mafanikio, mwingine nikamkuta Facebook lakini akaunti yake haipo active.

NAMTAFUTA CHRISTINA NGATA/MRS KIDAYA AU SHAMSA, ROSE MHAIKI MTOKAMBALI NA ZITHA MVULA/ MAMA DUBOUS.

Popote mlipo jamani nawasaka km miguu ya nyoka.
 
Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G
 
Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G
Teh teh teh.. ukute alishaoa na mke wake anasoma hii comment sasa hivi. Atajimurderrrr
 
Mi namtafuta sana Janeth Mongi alikuwa anafanya kazi Tigo office za Tanga mjini, namtafuta sana huyu Bi. Dada
 
Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G
Mi haunitafuti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…