Pia mimi namtafuta huyo huyoNeema komba,Nakutafuta Elias plz uonapo uzi huu plz naomba nichek
Utakuta kazipiga rangi mpya,mikanda kabadilisha na zilipobonyea kapiga puti.Mi namtafuta mtu aluyeniibia ndala zangu msikitini, nazijua vizuri kwasababu nimeziweka alama. Nikikukuta umezivaa ni ama zako ama zangu!
Utakuta kazipiga rangi mpya,mikanda kabadilisha na zilipobonyea kapiga puti.
Eeeh hivi ulinipata?nawatafuta Heaven Sent na Mwenzake BlessedHope
Dooh ulimpata happy? Kalikuwa keupe, karefu kidogo afu kapole and alikuwa anatokea mbeya?namtafuta happy mchome nimesoma nae secondary IRINGA
Yuko hapo ulipoMm namtafuta Yesu (Jesus) nmemmis jaman popote alipo mwambie aje hapa
Sent using Jamii Forums mobile app