Tuliopoteana tukutane hapa

Tuliopoteana tukutane hapa

Wapo mpaka wa 50s. Unaona mpaka akina Andrew Nyerere wamepigana vita ya Kagera 78/79, akina Nguruvi3, Mohammed Said, @mwanakijiji JokaKuu nk
Ni kweli kiongozi, halafu kumbuka zamani watu walianza shule wakiwa wakubwa. Hivyo yawezekana mtu alimaliza form iv akiwa 20yo. '86 hadi sasa ni 30 yrs, hivyo unolosema ni kweli.
 
Flavia Mbeya tulisoma wote Mbulla primary school mwaka 1983
 
Haya sasa mmekutana kajikubushiane ya long time...
Ndio maan michepuko haiishi jamani mtu akikutana na Ex wake wengi wao wanajikumbushi si bora uolewe na huyo ex wako..
Gharama na nguvu ya kupasha viporo ni ndogo ukilinganisha na muda pia gharama za kupika chakula.
 
AGNESS KIMBACHE tulikutana Musoma mwaka 1996 popote ulipo kama utasoma hapa ni pm.lakini kuna ndugu anaitwa JOHN MGAYA. tulisoma pamoja shule ya msingi Nyamagana,ulikua rafiki yangu sana tulipokua madarasa ya chini,popote ulipo nichek broo
 
Back
Top Bottom