Za nn hizo sasa?mmmmmmh! kwani tutakua tunafahamiana bila protector?
Jina la Somoe tulikuwa wote Bulombora alikuwa na macho makubwa wa mtwara that was 1980. HaahahhaNamtafuta Somoe John..Msichana aliyenirubuni kwa mara ya kwanza
Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G
Habari zenu,
Natafuta Marafiki wa Kalamu.
Hapo sawa Mama B na kwa kuwa leo #TBT# imekuwa vyema tumekutana tena., Wikiendi tutafutane tupashe kiporo
hehehehe siku hizi kimeongezeka naenda gym,hakuna matata nimemiss kifua chako
Is it you kweli ama.? Muda sana
hehehehe siku hizi kimeongezeka naenda gym,