Tuliopoteana tukutane hapa

Tuliopoteana tukutane hapa

Mimi namtafuta siyawezi mara ya mwisho kukutana ilikuwa November 2000 holili border...
 
namtafuta WITNESS DICKSON zamani kidogo alikuwa anakaa k/nyama baadaye akaamia mbagala, kama yupo humu au yeyote anayemfahamu anijuze maana namba yake naona ishakuwa ya bajaj
 
Sijui wako wapi Felicia na lovenes. Mara ya mwisho tuliachana 2004.. Popote malipo
 
Back
Top Bottom