Tuliopoteana tukutane hapa

John kazungu alimaliza kidato cha nne sengerema secondary 1998
 
Namtafuta "MWANA ASHA-KIKWETE" mtoto wa former president of Tanzania, kama upo hapa njoo PM.
 
Nakutafuta sn Mozes,tulipotezana 97 tunduma pr school baada ya wazazi wako kuhamishwa kikazi,I don't remember exactly ur surname,ila bd nakukumbuka.
 
Waliosomaliza std 7 azimio primary school mbeya mwaka 1987 embu tokezeni hapa
 
Mimi namtafuta Felister Daniel Manyasi

Alikuwa ex gf wangu miaka ya 2010

Popote pale ulipo mpendwa wangu naomba unitafute kupitia hii namba yangu +255768683021

Najua nilikuudhi kwa kukulazimisha kufanya mapenzi mpendwa wangu

Naomba unisamehe bure japo nilikufikisha kileleni na ukaniahidi hutaniacha nife na utamu wangu kama muwa

Wako muomba msamaha Paul Ellyson Lugiko
 
Mimi namtafuta mbunge wangu, toka tumeachana kipindi cha kampeni kuisha, sijamuona tena!
 
Popote ulipo Juma Mauliko aka fly over boy toka 2014 tulipoleka mzigo ethiopia bro nilikuacha unapakua mzgo kule sijakuona tena mm nishaacha kugonga gia nimekutafta yadi pale tegeta washahamisha yadi niko zangu iringa napga mishe nyingine..!! Your men king tall mzee wa kukaza bro mic sana kwa yyte anaweza kuwa anafahamu huy dreva anaendesha gari kubwa zinapeleka mizgo nje ya nchi please anipm..!
 
Haya sasa mmekutana kajikubushiane ya long time...
Ndio maan michepuko haiishi jamani mtu akikutana na Ex wake wengi wao wanajikumbushi si bora uolewe na huyo ex wako..

Habari ya Ma-EX ni kichomi haswa, hutaki kikuchome oa bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…