umenipata pen pal!Habari zenu,
Natafuta Marafiki wa Kalamu.
amefariki wiki mbili zilizopita kwa shinikizo la damu,alikuwa DC njombe-pole sana dogoVijana wakupe shkamoo.
Mimi namtafuta Sarah Dumba...
Ndio maana nimemtaarisha bikra wanguHabari ya Ma-EX ni kichomi haswa, hutaki kikuchome oa bikra.
Mimi si dogo. Namkaribia Kingungeamefariki wiki mbili zilizopita kwa shinikizo la damu,alikuwa DC njombe-pole sana dogo
Basi classmate wako ametangulia mbele ya hesabuMimi si dogo. Namkaribia Kingunge
Form IV ya '86 duh! Kumbe jf ina marika yote...mimi nawatafuta Form 4 science waliomaliza Tambaza mwaka 1986
umenipata pen pal!
nipe anuani nikuandikie
Bila mji barua itaenda kwa shetaniS.L.P 3494
Wapo mpaka wa 50s. Unaona mpaka akina Andrew Nyerere wamepigana vita ya Kagera 78/79, akina Nguruvi3, Mohammed Said, @mwanakijiji JokaKuu nkForm IV ya '86 duh! Kumbe jf ina marika yote...
Bila mji barua itaenda kwa shetani
Rafiki mbona mimi hujanitafuta?!Ataipokea, ataniletea
Ni kweli kiongozi, halafu kumbuka zamani watu walianza shule wakiwa wakubwa. Hivyo yawezekana mtu alimaliza form iv akiwa 20yo. '86 hadi sasa ni 30 yrs, hivyo unolosema ni kweli.Wapo mpaka wa 50s. Unaona mpaka akina Andrew Nyerere wamepigana vita ya Kagera 78/79, akina Nguruvi3, Mohammed Said, @mwanakijiji JokaKuu nk
Rafiki mbona mimi hujanitafuta?!
Ohhhhhh!! Kumbe?!!Hujanipa anuani yako
Mbula ya Lushoto?Flavia Mbeya tulisoma wote Mbulla primary school mwaka 1983
Ndio nawewe ulisoma hapo?Mbula ya Lushoto?
Gharama na nguvu ya kupasha viporo ni ndogo ukilinganisha na muda pia gharama za kupika chakula.Haya sasa mmekutana kajikubushiane ya long time...
Ndio maan michepuko haiishi jamani mtu akikutana na Ex wake wengi wao wanajikumbushi si bora uolewe na huyo ex wako..
Lakini kuna viporo vingine vimeharibika havilikiGharama na nguvu ya kupasha viporo ni ndogo ukilinganisha na muda pia gharama za kupika chakula.