GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda mrefu" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC.
Chanzo: Sports Headquarters ya EFM muda si mrefu.ll
GENTAMIYCINE huwa siji na Taarifa nisiyokuwa na uhakika nayo kwa 100% na sikupewa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa Jamiiforums Msimu wa 2022 / 2023 Kimakosa.
Haya wale Wote mlionitukana na hata Kuwatukana Wengine juu ya Kusema kuwa Yanga SC ilifungiwa Kusajili na FIIFA kutokana na Kudaiwa na aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael mtuombe Radhi haraka na ikiwezekana pia mtupigie Salute.
Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!