Tulioshangilia na tunaoshangilia Yanga SC Kufungwa na Ihefu FC jana nasi tukifungwa leo tutafute kwa Kujificha hapa JamiiForums

Tulioshangilia na tunaoshangilia Yanga SC Kufungwa na Ihefu FC jana nasi tukifungwa leo tutafute kwa Kujificha hapa JamiiForums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na najua ninayeviziwa na kukamiwa vilivyo na nitakoma kama siyo Kuwakoma ni Mimi GENTAMYCINE na baadhi.

Ewe Mola bariki Prisons FC afungwe!!
 
Nani ana muda na ww sheikh? Watu wapo busy na mambo yao we unajipa attention tu
Acha kulazimisha kutaka Kubanduliwa nami sawa? Huna hadhi ya Kubanduliwa nami tafuta wa level yako.

Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom