Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Habari wakuu!
ithink we are alotof ambao hatukwenda katika konzi yeyote mwaka 2013,sasa hebu tupeane mawazo huu mwaka 2014 kipi ni chuo na nafuu kwa elimu ya tanzania kwa konzi kadhaa either in laboratory technology,medical laboratory,nursing,clinical officer,law,arts,journalism,finacial&acountancy and ex etra.Baadhi ya viumbe watatoa kashfa,dharau nakadharika lakini kwa yeyote ambaye inamhusu toa maoni tufanyaje wapo wanaofeli kifedha,kimawanzo na wengine kukatishwa tamaa na familia zenu ebu tuwe wafikiri wakina na wengine wapo wenye elimu ya juu humu kwenye jf toeni maoni nini tufanye.