Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,068
- 2,314
Bora hukwenda maana bila hela ungeishia kutumwatumwa; kuonekana mtu wa hovyo; na hakuna mtu ambaye angethamini mchango wako wowote uwe wa mawazo ama ushauri. Mwisho wa haya ungesheherekea x-mas kwa stress mbaya kabisa.Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu
Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa
Uzi tayari