Bora hukwenda maana bila hela ungeishia kutumwatumwa; kuonekana mtu wa hovyo; na hakuna mtu ambaye angethamini mchango wako wowote uwe wa mawazo ama ushauri. Mwisho wa haya ungesheherekea x-mas kwa stress mbaya kabisa.Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu
Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa
Uzi tayari
Umesema vyema mkuu, mwidho wa siku January ningekua nalia lia ada, ila kwa sasa hata wakisema shule inafunguliwa kesho sina wasiwasi kabisaBora hukwenda maana bila hela ungeishia kutumwatumwa; kuonekana mtu wa hovyo; na hakuna mtu ambaye angethamini mchango wako wowote uwe wa mawazo ama ushauri. Mwisho wa haya ungesheherekea x-mas kwa stress mbaya kabisa.
Bora hukwenda maana bila hela ungeishia kutumwatumwa; kuonekana mtu wa hovyo; na hakuna mtu ambaye angethamini mchango wako wowote uwe wa mawazo ama ushauri. Mwisho wa haya ungesheherekea x-mas kwa stress mbaya kabisa.
Just imagine wazee jinsi wangekusakama na kukuuliza 'MULUME hata kuiba umeshindwa ?'Umesema vyema mkuu, mwidho wa siku January ningekua nalia lia ada, ila kwa sasa hata wakisema shule inafunguliwa kesho sina wasiwasi kabisa
Tarakea kibaoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makiwendo uko wapi kwani?
Kumbe ulipata nauli!
Acha tu..Ingekosekana Ungenikopesha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kumbe ulipata nauli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha tu..Ingekosekana Ungenikopesha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungeisikilizia chirisimasi.