Tulioshuhudia Walimu na Watumishi wa Serikali waliopangiwa vijijini wakaacha kazi au kuhama kwasababu ya ushirikina uliokothiri mwaga hapa ushuhuda

Tulioshuhudia Walimu na Watumishi wa Serikali waliopangiwa vijijini wakaacha kazi au kuhama kwasababu ya ushirikina uliokothiri mwaga hapa ushuhuda

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni.

Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna wengine walikuwa hawapendi kabisa viboko.

Wanafunzi waliokerwa na hii tabia baadhi au moja wao alimchapa kipapai, dada alihangaika sana ila mwishonwa siku alirudi kwao huko akafanyiwa mila ndio akapona.

Alihamishiwa shule maana alikataa kata kata kurudi ile shule
 
Umefeli interview unaanza kuwatisha waliopita ili wasiende, umefeli wote wataenda
 
Mwaka 1990 nikiwa wilaya moja huko mkoani Mwanza niliona mwalimu mmoja akitoroka kazini ni kuacha familia yake eneo la kazi baada ya ushirikina kumzidi.
 
Wanafunzi waliokerwa na hii tabia baadhi au moja wao alimchapa kipapai, dada alihangaika sana ila mwishonwa siku alirudi kwao huko akafanyiwa mila ndio akapona.
.
sijui umeandik nini ichi!!?[emoji849][emoji849]
 
Kuna dada mmoja alipangiwa kijiji kimoja musoma vijijini kama mtendaj wa kijiji! Aisee dada kila siku anaota watu wanamla tunda, akiamka kachoka, kachafuka na chup ipo pembeni! Aliacha mpka kazi
 
Mwalimu mmoja bukoba alilala usiku kuamka kesho yake kajikuta yuko kigoma juu ya kichuguu,! Aliomba uhamusho chap kirudi kwao kigoma.
 
Wanafunzi waliokerwa na hii tabia baadhi au moja wao alimchapa kipapai, dada alihangaika sana ila mwishonwa siku alirudi kwao huko akafanyiwa mila ndio akapona.
.
sijui umeandik nini ichi!!?[emoji849][emoji849]
Kweli kabisaaa ndo maana watu mnafail mitihani!! sisi tupaaa!!!! sasa ugumu uko wapi hapa?
 
Back
Top Bottom