Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni.
Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna wengine walikuwa hawapendi kabisa viboko.
Wanafunzi waliokerwa na hii tabia baadhi au moja wao alimchapa kipapai, dada alihangaika sana ila mwishonwa siku alirudi kwao huko akafanyiwa mila ndio akapona.
Alihamishiwa shule maana alikataa kata kata kurudi ile shule