Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Nakumbuka tulipokuwa 2year ile Qms ticha akimaliza kufundisha anatokea mzee mmoja, huko nyuma anauliza hivi hii nitakutana nayo wapi mimi katika maisha. Darasa zima kicheko maana huyo ni from service alafu QMS inamchanganya. Yote kwa yote utamaliza tuu na huna uzee wowote.