Tuliosoma Kigoma Sekondari Miaka ya 2006, 2007, 2008 na 2009 tujuane hapa

Tuliosoma Kigoma Sekondari Miaka ya 2006, 2007, 2008 na 2009 tujuane hapa

Idara nyeti

New Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
0
Reaction score
54
Katika pitapita zangu mjini si nikakutana na mchette akiwa kwenye mishe zake akaniita 'we idara nyeti upo kijana wangu mtukutu nikamwambia mie saivi mtukufu nikakumbuka long maisha ya Kigoma sekondari nikaikumbuka Coy b..nikapakumbuka Kamala, nikamkumbuka mzee Mwingira, nikapakumbuka foko.

Ebu tujuane hapa
 
Kigoma sec now day ni pazuri saana madogo wanatusua kinoma plus kuongezwa kwa mchepuo wa sayansi

in short now day hakuna watukutu tena
 
Kigoma sec now day ni pazuri saana madogo wanatusua kinoma plus kuongezwa kwa mchepuo wa sayansi

in short now day hakuna watukutu tena
nnakumbuka 2006-2007 kulitokea mgomo baada ya walimu wa 3 kupigwa kamala akiwemo mwalimu Mchele tukapewa muda mpaka saa 11 jioni kuwa tumeondoka maeneo ya shule,ila long time alfajiri tunatoka mchakamchaka kupandisha katonga.wapi Bilantanya mwalimu wa geograpgy
 
Yaani mnaleta upuuzi wenu hapa? Ndiyo maana mkaitwa mwisho wa reli!
 
nnakumbuka 2006-2007 kulitokea mgomo baada ya walimu wa 3 kupigwa kamala akiwemo mwalimu Mchele tukapewa muda mpaka saa 11 jioni kuwa tumeondoka maeneo ya shule,ila long time alfajiri tunatoka mchakamchaka kupandisha katonga.wapi Bilantanya mwalimu wa geograpgy
D35dsdf381
 
Hivi wakuu ile hoteli ya Lake Tanganyika kule beach bado iko? Na Bangwe Beach je? Yalikuwa ni maeneo mazuri ya kupata kilaji wakati wa jioni, huku kuliangalia jua likizama upande wa DRC.
 
Hivi wakuu ile hoteli ya Lake Tanganyika kule beach bado iko? Na Bangwe Beach je? Yalikuwa ni maeneo mazuri ya kupata kilaji wakati wa jioni, huku kuliangalia jua likizama upande wa DRC.
ndio zote bado zipo lake tanganyika hotel imeboreshwa sn siku hizi na bangwe beach chuni ya jeshi la magereza ipo na imeboreshwa kiasi
 
Hivi wakuu ile hoteli ya Lake Tanganyika kule beach bado iko? Na Bangwe Beach je? Yalikuwa ni maeneo mazuri ya kupata kilaji wakati wa jioni, huku kuliangalia jua likizama upande wa DRC.
Lake tanganyika now ndio hotel kubwa kigoma nzima

bangwe beach ipo chini ya jeshi ila now day imeshuka hadhi kiasi fran japo mkesha wa mwaka mpya mau sama alikuwepo hapo
 
KWENYE HUU MGOMO NILISHIRIKI KAMA SHUSHUSHU MBOBEVU HUKU NIKIJIFANYA NIKO NA KINA BANOBA KWENYE MIPANGO YA SIRI HARAFU NAIPELEKA KAMA ILIVYO KWA KAMANDA MCHETTE..ILE LIST OF SHAME YA WALIOFUKUZWA SHULE NILIIPELEKA MIMI..DODOSO ILIKUWA ZUGA TU........EL-AHAL BANOBA,SAMWEL MWITA,KHALFAN BWANGARO N.K
lakini hukuweza kuzuia kilichowapata waalimu wetu kule kamara,halafu isitoshe baadhi ya waliofukuzwa kuna yule aliyekuwa hakai shuleni yaan board alikuwa anasoma kama ni shule ya day sasa hivi n komando ngerengere,Kizanye ni mhasibu na badhi wameweza kutimiza ndoto zao,na Mwingira,mchete naye kuhamishwa na dhambi yao ya kutulisha maharage na mahindi mabovu,kututolea mkate kwenye breakfast nk
 
Lake tanganyika now ndio hotel kubwa kigoma nzima

bangwe beach ipo chini ya jeshi ila now day imeshuka hadhi kiasi fran japo mkesha wa mwaka mpya mau sama alikuwepo hapo
Safi sana, hayo yalikuwa ni moja ya maeneo mazuri ya Kigoma, haswa kwa kupata kilaji na Samaki choma.... Vipi ile HILL TOP Hotel? Bado ina exist?
 
Back
Top Bottom