Idara nyeti
New Member
- Dec 28, 2020
- 0
- 54
nnakumbuka 2006-2007 kulitokea mgomo baada ya walimu wa 3 kupigwa kamala akiwemo mwalimu Mchele tukapewa muda mpaka saa 11 jioni kuwa tumeondoka maeneo ya shule,ila long time alfajiri tunatoka mchakamchaka kupandisha katonga.wapi Bilantanya mwalimu wa geograpgyKigoma sec now day ni pazuri saana madogo wanatusua kinoma plus kuongezwa kwa mchepuo wa sayansi
in short now day hakuna watukutu tena
D35dsdf381nnakumbuka 2006-2007 kulitokea mgomo baada ya walimu wa 3 kupigwa kamala akiwemo mwalimu Mchele tukapewa muda mpaka saa 11 jioni kuwa tumeondoka maeneo ya shule,ila long time alfajiri tunatoka mchakamchaka kupandisha katonga.wapi Bilantanya mwalimu wa geograpgy
hakuna binadam aliyekamilika jitazame kwa undani,huenda wewe ukawa ndiye namba moja kwa upuuziYaani mnaleta upuuzi wenu hapa? Ndiyo maana mkaitwa mwisho wa reli!
ndio zote bado zipo lake tanganyika hotel imeboreshwa sn siku hizi na bangwe beach chuni ya jeshi la magereza ipo na imeboreshwa kiasiHivi wakuu ile hoteli ya Lake Tanganyika kule beach bado iko? Na Bangwe Beach je? Yalikuwa ni maeneo mazuri ya kupata kilaji wakati wa jioni, huku kuliangalia jua likizama upande wa DRC.
Lake tanganyika now ndio hotel kubwa kigoma nzimaHivi wakuu ile hoteli ya Lake Tanganyika kule beach bado iko? Na Bangwe Beach je? Yalikuwa ni maeneo mazuri ya kupata kilaji wakati wa jioni, huku kuliangalia jua likizama upande wa DRC.
lakini hukuweza kuzuia kilichowapata waalimu wetu kule kamara,halafu isitoshe baadhi ya waliofukuzwa kuna yule aliyekuwa hakai shuleni yaan board alikuwa anasoma kama ni shule ya day sasa hivi n komando ngerengere,Kizanye ni mhasibu na badhi wameweza kutimiza ndoto zao,na Mwingira,mchete naye kuhamishwa na dhambi yao ya kutulisha maharage na mahindi mabovu,kututolea mkate kwenye breakfast nkKWENYE HUU MGOMO NILISHIRIKI KAMA SHUSHUSHU MBOBEVU HUKU NIKIJIFANYA NIKO NA KINA BANOBA KWENYE MIPANGO YA SIRI HARAFU NAIPELEKA KAMA ILIVYO KWA KAMANDA MCHETTE..ILE LIST OF SHAME YA WALIOFUKUZWA SHULE NILIIPELEKA MIMI..DODOSO ILIKUWA ZUGA TU........EL-AHAL BANOBA,SAMWEL MWITA,KHALFAN BWANGARO N.K
Safi sana, hayo yalikuwa ni moja ya maeneo mazuri ya Kigoma, haswa kwa kupata kilaji na Samaki choma.... Vipi ile HILL TOP Hotel? Bado ina exist?Lake tanganyika now ndio hotel kubwa kigoma nzima
bangwe beach ipo chini ya jeshi ila now day imeshuka hadhi kiasi fran japo mkesha wa mwaka mpya mau sama alikuwepo hapo