Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Mwanzoni mwa miaka ya 80. Nakumbuka darasa letu aliyekuwa akivaa viatu alikuwa mmoja tu. Hiyo ilikuwa mkoani kimanjaro.
Na 98% ya wanafunzi wa shule yetu tulikuwa hatuvai viatu. Hii ilikuwa ni shule ya msingi.
So kama ulienda shule bila kuvaa viatu karibu huu ni uzi wetu.
Mzee baba kitambo sana. Hiyo line up hapo juu namwona Madenge, Mapung'o, kipepe, Huihui, na ndava kama sijakosea.
Nimeipenda hii [emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka shuleni kwetu ilifika kipindi walimu wakasema kama Baba yako hajakununulia viatu vaa vya kwake, kwani tunawaona kilabuni wamevaa viatu kwanini washindwe kuwanunulia na nyie
Basi unakuta mtu anakuja shule na bonge la buti hadi kutembea nisheeda, mnabaki kucheka tuu,Nimeipenda hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee baba kitambo sana. Hiyo line up hapo juu namwona Madenge, Mapung'o, kipepe, Huihui, na ndava kama sijakosea.
Chini hapo Mnenge na Mandawa
Mzee baba kitambo sana. Hiyo line up hapo juu namwona Madenge, Mapung'o, kipepe, Huihui, na ndava kama sijakosea.
Chini hapo Mnenge na Mandawa
Kwa taarifa yako tu. Nakupa na home work, kama ulizaliwa kijijini na ulitoka kwenye familia iliyojiweza, kwa sasa zile familia zilizoonekana duni ndio zina maendeleo kuliko zile ambazo zilionekana kujiweza kimaisha. Wengi wa watito waliokuwa hawavai viatu kwa sasa ndio wapo vizuri kiuchumi kuliko nyie mnaojiona mlitokea kwenye familia bora.Watanzania ni wajinga sana mnaona sifa kuzaliwa masikini hamjui hiyo ni laana na ujinga wa wazazi wenu,utakuta mwanasiasa jukwaani hiyo ndio sera yake kuwa kazaliwa familia masikini.asante Mungu sijazaliwa mazingira magumu
Kwahiyo kuzaliwa maskini ni laana?Watanzania ni wajinga sana mnaona sifa kuzaliwa masikini hamjui hiyo ni laana na ujinga wa wazazi wenu,utakuta mwanasiasa jukwaani hiyo ndio sera yake kuwa kazaliwa familia masikini.asante Mungu sijazaliwa mazingira magumu
Kwa taarifa yako tu. Nakupa na home work, kama ulizaliwa kijijini na ulitoka kwenye familia iliyojiweza, kwa sasa zile familia zilizoonekana duni ndio zina maendeleo kuliko zile ambazo zilionekana kujiweza kimaisha. Wengi wa watito waliokuwa hawavai viatu kwa sasa ndio wapo vizuri kiuchumi kuliko nyie mnaojiona mlitokea kwenye familia bora.
Ukienda kwenye hizi familia zilizokuwa zikionekana bora utakuta nyumba ni ileile ya mzee wao ya miaka ya 70. Wale walioonekana ni duni wamebadilisha mazingira ya nyumbani kwao kuna nyumba nzuri za kisasa na kipato chao ni kikubwa kuliko wale waliotoka kwenye maisha mazuri au bora.S
Ni barakaKwahiyo kuzaliwa maskini ni laana?
Kweli pata kitu tujue tabia yako
Kuzaliwa maskini sio kosa lako .kosa lako ni kufa maskiniNi baraka
KabisaKuzaliwa maskini sio kosa lako .kosa lako ni kufa maskini
Kwa taarifa yako tu. Nakupa na home work, kama ulizaliwa kijijini na ulitoka kwenye familia iliyojiweza, kwa sasa zile familia zilizoonekana duni ndio zina maendeleo kuliko zile ambazo zilionekana kujiweza kimaisha. Wengi wa watito waliokuwa hawavai viatu kwa sasa ndio wapo vizuri kiuchumi kuliko nyie mnaojiona mlitokea kwenye familia bora.
Ukienda kwenye hizi familia zilizokuwa zikionekana bora utakuta nyumba ni ileile ya mzee wao ya miaka ya 70. Wale walioonekana ni duni wamebadilisha mazingira ya nyumbani kwao kuna nyumba nzuri za kisasa na kipato chao ni kikubwa kuliko wale waliotoka kwenye maisha
Kosa la wazazi wako,sasa kwa nini uone fahari ya kosa la mzazi wako ashindwe kubeba zege upate viatuKuzaliwa maskini sio kosa lako .kosa lako ni kufa maskini
Halafu we mbwa inaonekana una tatizo la akili sio bure..Kosa la wazazi wako,sasa kwa nini uone fahari ya kosa la mzazi wako ashindwe kubeba zege upate viatu
Loh! Level ya chuo hiyo?Nakumbuka chuo waliokuwa wanavaa viatu walikuwa hawazidi watano!
Sasa kujisifu kuwa ulipekua si ndio ufala huoHalafu we mbwa inaonekana una tatizo la akili sio bure..
Kwahiyo unataka watu wawapige wazazi wao kwamba kwanini hujaninunulia viatu?
Mental disorder..!