Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kipindi kile ukipata wastani wa 81 Na kuendelea Kwenye masomo yote unasoma bure ila iyo mitihani ugumu wake na usahihishaji ulivyo Strict wacha kabisa, mnamkumbuka Laurent shilingi aliyesemekana alisoma bure kuanzia form 1 had 6, akina sabas oisso aliekuwa wa 7 kitaifa mtihani wa form 4 akawa star wa shule, ila form 6 akaangukia pua?? Wolfgang seiya aliekuwa wa 3 kitaifa? Mwanafunzi Fulgence mashauri mtaalamu wa hesabu
Wapi Mary Jackline Odhiambo na Melkizedek Carol wa morning news Pale paredi? Na yule ticha wa jogi aliyesemekana ni papai? Kuruka trench, mwalimu meraba wa physics, mwalimu mrina wa hesabu, papa kichawele those were the days..