hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Wale tuliosoma makongo sec
Tukumbushane walimu wetu na mbwembwe zao
Mnamkumbuka
Master,malongoli
Alikuepo mwamba mkifanya pepa anaanza kusahihisha anapotoka darasani akifika staff kamaliza kusahihisha dah huyu mwamba alinipa maksi ndogo kuwahi kupata kwenye historia ya maisha yangu..
Mimi ni wa kupata 28 adv chemistry...