Tuliosoma Mbezi Beach sec 2005

Mkomawatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
273
Reaction score
123
Habari zenu wadau!,,mimi ni miongoni mwa tulisoma Mbezi Beach sekondari kuanzia mwaka 2001 hadi 2005,,naomba tujikumbushe pilika zetu enzi hizo chini ya mwalimu Ng'ang'a,Mshana,Sijali,,pilika za kimichezo na mengine mengi,,karibuni wadau wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…