Tuliosoma mbezi inn tukumbukane hapa

Tuliosoma mbezi inn tukumbukane hapa

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
wale tuliosoma kidato c vbaya kama tukakumbushana skuli yetu kama vile mboko za ticha mmari inno , mwakibete na ndemandema na vitu vingne pamja na tcha kapele
 
wale tuliosoma kidato c vbaya kama tukakumbushana skuli yetu kama vile mboko za ticha mmari inno , mwakibete na ndemandema na vitu vingne

hii nayo shule au guest house?toa takataka hii,shule hata kwenye ramani haipo!
 
aitheee! Kwa 2lio maliza mbezi inn sec miaka ya 2008 2naijua vzr nahc we mgen c ilikua inaitwa charles kaenja sec c ndo wababe kwa shule kma temboni , kwembe, kiluvya
 
hehehe!yan dah,hizo shule za kata?kumbe wewe wa 2010s!pole
 
wale tuliosoma kidato c vbaya kama tukakumbushana skuli yetu kama vile mboko za ticha mmari inno , mwakibete na ndemandema na vitu vingne pamja na tcha kapele

Shule zenu za mchangani hizi hazipaswi kujadiliwa humu jamvini
 
Back
Top Bottom