Tuliosoma Moshi tech miaka ya 90

Tuliosoma Moshi tech miaka ya 90

Mbuna Senior

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
55
Reaction score
125
Wale wote tuliosoma Moshi Tech tupeane stori za miaka hiyo nakumbuka kuna Mwalimu alikuwa anaitwa Mpande ikifika saa 11 tayari yupo mabwenini anaamsha watu mchakamchaka alikuwa noma soma huyo mwalimu.

Pia kuna walimu kama Munuo na yule makamu mkuu wa shule ana upara fegi masaa 24 alikuwa ni mnoko wa kufa mtu. Nakumbuka tulikuwa tunaenda kucheza mpira na wababe Kibohehe Kolila na Old Moshi walikuwa wanatuonea sana sijajua siku hizi kama wanafunzi wamekomaa.

Pia nakumbuka wakurwa ukichukua dada yao lazima wakutembezee stiki duuuuh.
 
Shule gani umesoma hujui hata kuandika kwa mpangilio?
Kuna dokta mmoja mwenye degree 3 lakini hajui english sijui hizo degree alisoma kwa kiswahili? Kama alitumia english kuzisoma na haiwezi je udokta wake utakua halali kweli?
 
Back
Top Bottom