Ni vigumu kusoma Tosamaganga usifanikiwe maishani. Labda kwa wanafunzi wa siku hizi. kwa miaka ya tisini, mazingira na commitment za mwanafunzi binafsi zilimprogram awe fighter katika maisha.Tulijiita wagumu kwa maana tunaweza pitia shida zozote kuelekea mafanikio. Umenikumbusha shule yangu maana niliwahi kuwa kiongozi wa bweni la Azimio. Wakati ule hapakuwa na polluters (wasichana) nasikia siku hizi wapo! hata hivyo asante kwa picha zenye kumbukumbu nzuri maana zimenipa faraja mie pengine na wengine tuliopo nje ya nchi yetu. Hawa walimu wako wapi? CONTRAR, MALARE, MRISHO, na wengine katika miaka ya 90s